WAANDAAJI wa shindano la BSS kwa kushirikiana na Azam Media wametangaza kuwa fainali kubwa ya shindano hilo itafanyika Julai 11, 2026, huku wakiwatambulisha rasmi washiriki 10 bora ...