Mmoja wa viongozi wa genge wenye nguvu zaidi nchini Haiti anasema atafikiria kuweka chini silaha ikiwa makundi yenye silaha yataruhusiwa kushiriki katika mazungumzo ya kuanzisha serikali mpya. Chanzo ...
Kwa mara ya kwanza mwanamke amewekwa kileleni mwa Deutsche Bahn. Evelyn Palla anakabiliwa na changamoto kubwa za kuchelewa kwa treni, kufutwa kwa safari na hali mbaya ya huduma. Mara nyingi kuchelewa ...