Mavoice ni kijana chipukizi kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva anaefanya vizuri na nyimbo zake, juma hili ametembelea studio za RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam, unaweza pia kumfollow mtangazaji ...