Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
UMEPITA mwezi mmoja tu tangu ilipopigiwa Dabi ya Mzizima Ligi Kuu Bara, ambapo ilishuhudiwa Simba ikipasuliwa kwa mabao 2-0 ...
Pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara linafunguliwa wiki hii huku Jumanne septemba 16 Wadau wa soka wanasubiri kwa hamu pambano la kukata na shoka litakalowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga.