ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje ya Nchi, John Mrema ambaye anaongoza kundi la watiania 55 ...
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Careen-Rose Rwakatale, amewataka viongozi wa CCM katika wilaya ...
SHIRIKISHO la michezo ya Pentathlon Tanzania (PMT) limeshiriki utaratibu wa kufanya usafii katika Fukwe za Dengu jijini Dar ...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ismail Ussi, ametoa wito kwa wananchi kuendeleza amani na utulivu kuelekea ...
Geofrey Kiliba, mwanafunzi wa Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ametangazwa rasmi kuwa Rais mpya wa Jumuiya ya ...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali huku akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti ...
Kamati ya Sera ya Fedha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imeamua kuendelea na kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) cha asilimia ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi ...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewataka wananchi wa jimbo la Mtama mkoani Lindi kupigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ili kuwa na ushindani huru na haki. Ak ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema imani ya wananchi kwa Mahakama imeendelea kupanda kila mwaka na kwa mwaka 2024 imefikia asilimia 88. Ameyasema hayo leo jijini Dodoma katika uzinduzi wa jengo la Makao ...
PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has approved the retirement of Chief Justice Prof. Ibrahim Juma and urged judges to prepare for ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Jaji Mkuu Prof.Ibrahim Juma kustaafu na kuwataka Majaji kujipanga huku akieleza namna alivyofanya mageuzi makubwa kwa mahakama nchini. Ameyasema hayo leo jijini Dodo ...